Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!


Dah [emoji1319][emoji1319][emoji1319]Safi sana mkuu
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hivi mtoa mada bado yupo kwelii.. naona unayemuita mviziaji anaongoza wazungu huko kwa kutupia magoli
 
Mtoa mada ulikuwa unamuongelea sammata junior au Huyo aliyechini apo kwenye list
 

Attachments

  • Screenshot_2019-02-09-11-15-30.png
    147.5 KB · Views: 44
Mtoa mada ulikuwa unamuongelea sammata junior au Huyo aliyechini apo kwenye list
Bendera yetu inapeperushwa vizuri, Samata anafungua njia kwa nchi yetu kuangaliwa zaidi hasa katika mashindano yetu ya mpira wa miguu. Tutegemee vijana wengi zaidi kupata nafasi za nje kwakua sasa tutaanza kufuatiliwa zaidi katika league zetu

Mkorintho wa 6
 
Ndiyo ni kweli kiwango chake tunatamani kiwe juu zaidi na awe kwenye timu kubwa zaidi LAKINI kwamba kinachombeba hadi kufikia hapo alipo ni bahati, SIYO KWELI. Amepita TP Mazembe na aliiwezesha kuwa bingwa wa DRC na AFRICA wakati huo akiwa mfungaji bora wa klabu bingwa Africa. Na pia alichaguliwa mchezaji bora wa Africa Ligi ya ndani. Sasa hivi anaelekea kuwapa Genk ubingwa wa beligium kwa kuwapa points 3 karibu kila wiki. Kote huko ni kubahatisha?
 
H
Na wewe pia uwezo wako was kujieleza ni wakawaida mno, point zako hazieleweki unaongelea ukawaida UPI. Na we we pia uwezo wako was kutoa maoni ni was kawaida sana hats Haumtishi Mbwana Samatta
 
Hivi mleta mada bado anatetea hoja yake? Samatta anachukua kombe la ligi pamoja na kiatu cha dhahabu as top scorer.
πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…