Mbwana Samatta

Mbwana Samatta

kanumi jr

Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
19
Reaction score
1
Kwanini kijana anapotezs umaarufu wake na bado ajapata nafasi ya kucheza soka ulaya?????
 
Kapoteza umaarufu wapi kiongozi ndio kwanza anatafutiwa tim ulaya saa hizi.
 
Tanzania na lubumbashi congo hakubalik kama hapo mwanzo ....
 
alitakiwa akae mazembe misimu miwili n then aanze kutafuta timu ulaya,ss yy pesa ya katumbi anaiona tamu sijui ndio kulizika,nani atamchukua ss hv kashakua mzee
 
Kwa mwafrika sidhani kama zaidi ya miaka 26 anaweza kukipiga premier, labda Kapombe league! Sasa alitakiwa awe anakipiga ulaya!!
 
TeHtEh teh teh..naona umekuwa suprised ndugu yangu,BTW huyo ndo mwenyewe kbs,we huoni verification hapo mkuu?

Safi sana. Kwenye simu haionyeshi hiyo verification. Inatia moyo kuona wadau wa michezo humu.
 
Safi sana. Kwenye simu haionyeshi hiyo verification. Inatia moyo kuona wadau wa michezo humu.

ahsante Barasu ,kama una swali,wazo,ushauri kuhusu maendeleo ya mpira wetu unaweza kunitumia email president@tff.or.tz au kwa simu sms/whattsup 0754815543
 
Last edited by a moderator:
Mkuu malinzi vipi maendeleo ya team ya wale vijana waliomaliza juzi michuano:cool2::cool2:
 
Mkuu malinzi vipi maendeleo ya team ya wale vijana waliomaliza juzi michuano:cool2::cool2:

mwanangwa130 wachezaji bora copa coca cola iliyopita tumekwisha wapata,sasa tunaanza mchakato wa kuwaomba wazazi wao wawaruhusu wahamie shule ya bweni Lord Baden ili waanze kambi ya miaka miwili kujiandaa na Qualifiers za fainali za Africa umri chini ya miaka 17,Madagascar 2017.
 
Last edited by a moderator:
ahsante Barasu ,kama una swali,wazo,ushauri kuhusu maendeleo ya mpira wetu unaweza kunitumia email president@tff.or.tz au kwa simu sms/whattsup 0754815543

Samahani prezidaa naomba kuuliza!! Hivi mnatumiaga mikanda ya video kutathimini na kutolea maamuzi ya mechi zilizochezwa!! Sababu Mechi ya Stand Utd na Polisi Moro refa kaamua maksudi kuvurunda!!
Lingine mbona utaratibu wa mechi na ratiba za ligi daraja la 2 haziko clear!! Website yenu haina update zozote
 
Last edited by a moderator:
Barasu mwaka juzi Berahino alicheza England under 21,mwaka jana ndo kapata call up England senior team.Burundi walimuomba achezee nchi yake ya kuzaliwa imeshindikana.
Asante mkuu kwa jibu murua!! Wenzetu wanakipiga Ulaya wakiwa bado wachanga, vijana wetu ni wepesi mno wa kulewa sifa!! Miaka 30 ndo wanawaza kuwa wanaweza kukipiga ulaya!!!
 
Watanzania wengi ni wachawi wa mafanikio ya wenzao.

Unaona watu walivyomchawia toka mwanzo,Leo aibu tupu
 
Back
Top Bottom