Kwanini kijana anapotezs umaarufu wake na bado ajapata nafasi ya kucheza soka ulaya?????
Kapoteza umaarufu wapi kiongozi ndio kwanza anatafutiwa tim ulaya saa hizi.
Berahino ana miaka mingapi?
Samahani, napenda kufahamu kama hilo ni jina tu au ni wewe mwenyewe haswa ?
TeHtEh teh teh..naona umekuwa suprised ndugu yangu,BTW huyo ndo mwenyewe kbs,we huoni verification hapo mkuu?
Safi sana. Kwenye simu haionyeshi hiyo verification. Inatia moyo kuona wadau wa michezo humu.
Berahino ana miaka mingapi?
Mkuu malinzi vipi maendeleo ya team ya wale vijana waliomaliza juzi michuano:cool2::cool2:
ahsante Barasu ,kama una swali,wazo,ushauri kuhusu maendeleo ya mpira wetu unaweza kunitumia email president@tff.or.tz au kwa simu sms/whattsup 0754815543
Asante mkuu kwa jibu murua!! Wenzetu wanakipiga Ulaya wakiwa bado wachanga, vijana wetu ni wepesi mno wa kulewa sifa!! Miaka 30 ndo wanawaza kuwa wanaweza kukipiga ulaya!!!Barasu mwaka juzi Berahino alicheza England under 21,mwaka jana ndo kapata call up England senior team.Burundi walimuomba achezee nchi yake ya kuzaliwa imeshindikana.
Sasa hivi unajiskiaje?Ngassa part 2,tatizo shule.