unknown animal JF-Expert Member Joined Jul 18, 2012 Posts 337 Reaction score 51 Aug 10, 2012 #1 hivi wadau unakuta katika hali ya kawaida mnposoma watu wenye camera especially digital huwa wanahesabika lakini wakati wa mahafali wote wanamiliki,sasa je huwa wanaacha nyumbani au inakuwaje
hivi wadau unakuta katika hali ya kawaida mnposoma watu wenye camera especially digital huwa wanahesabika lakini wakati wa mahafali wote wanamiliki,sasa je huwa wanaacha nyumbani au inakuwaje
MATESLAA JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 1,246 Reaction score 75 Aug 10, 2012 #2 Aiseee baba yangu mimi sijui
majuto mperungu JF-Expert Member Joined Jul 20, 2012 Posts 394 Reaction score 118 Aug 10, 2012 #3 MKUU ROMBO said: Aiseee baba yangu mimi sijui Click to expand... Mh!! Wave ni veivi?
A Aquous JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 292 Reaction score 86 Aug 10, 2012 #4 wanaazima au wanahongwa na boyfrend zao
MATESLAA JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 1,246 Reaction score 75 Aug 10, 2012 #5 aisee nyanyi n mmeku wae maisho wafuma kuuuu bulaaaa
telitaibi JF-Expert Member Joined May 2, 2012 Posts 551 Reaction score 107 Aug 10, 2012 #6 wewe ile yako ulimgongea nani
majuto mperungu JF-Expert Member Joined Jul 20, 2012 Posts 394 Reaction score 118 Aug 10, 2012 #7 MKUU ROMBO said: aisee nyanyi n mmeku wae maisho wafuma kuuuu bulaaaa Click to expand... Ni wa ala kwa mangulwa ukadwa kidogo na ve ni wa areku
MKUU ROMBO said: aisee nyanyi n mmeku wae maisho wafuma kuuuu bulaaaa Click to expand... Ni wa ala kwa mangulwa ukadwa kidogo na ve ni wa areku
J JAK Member Joined Apr 23, 2012 Posts 92 Reaction score 20 Aug 10, 2012 #8 Wengine wanaazima, kwani ni kosa?
Wi-Fi JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,091 Reaction score 1,381 Aug 10, 2012 #9 Inabidi mods waanze kufanya interview kabla hawajakubali request, inawezekana JF imeingia mirembe..