BIG STONE AND CONER STONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2023
- 421
- 728
Members wa Jm F Niwaletee kisa cha Jamaa yetu mmoja ukiwa na ushauri mzuri nitampelekea. Ujumbe huo.
Kijana mwenzetu kutoka moshi Ana hisi kukata Tamaa maana amefanya biashara ya duka Nikaenda poa Sana Ila alvyotaka kuongeza fremu ya pili akayumba kabisa.
Akarudi kwenye kazi za kuajiriwa akawa anapata mshahara at least alivyo jipanga akafungua duka la nguo halikuwa na matokeo bora, akaishia kulifunga ile kazi iliyompa mtaji wa nguo ikaisha kimazingira flani basi yasiyo rasmi sana,
Sasa mambo hayaeleweki anakuambia akiangalia post za wenzake wa Huko kilimanjaro wakati huu walivyo enda na magari mazuri nyumba nzuri walio jenga vijana Rika lake a najiuliza.. Alikosea wapi
Huyu ndg anahisi kukata Tamaa tu Mshauri nn ndg yetu!