du hii miezi ya may, june na july tutalia sana, r.i.p mc chichi
......jana nimeota kuna mwana jf tunamwaga kwa machozi wengine wakishangilia kwa ukamanda wake sijui nani....
we junius mbona unatutisha wenzio......jana nimeota kuna mwana jf tunamwaga kwa machozi wengine wakishangilia kwa ukamanda wake sijui nani....sasa ana wewe hayo ndio unahitimisha ndoto kabisa
msiogope kila jambo na waakati wake
Hahaaaaaaa......Usiamini sana katika ndoto, utakuja kuvunja ndoa yako bure!
Nimehudhuria Mazishi makaburi ya Kinondoni, kitu ambacho nimekishudia ni kitendo cha Jenaza lake kubebwa na MC wa kike peke yao. Hii mara ya kwanza kwa wanawake kubeba jeneza!.
Halafu wakavalia sare maalum iliyomachi na rangi ya nguo aliyovikwa Marehemu iliyomachi na rangi ya Jeneza lake.
Hii ni mara ya kwanza nimeona mshikamano wa ajabu kati ya ma MC.
RIP MC CHICHI.
Mbwembwe zote hizo zitamsaidia nini maiti?
Maria Roza una uhakika na unacho kisema!?Ni sherehe yake ya mwisho!
Maria Roza una uhakika na unacho kisema!?
Maria Roza una uhakika na unacho kisema!?
Kumbe ni mahakamani tu ndipo tunatakiwa tuwe na uhakika! Nilikuwa silijui hilo.kwani hapa mahakamani mpaka awe na uhakika?