MC chichi hatunae tena

Rip mc chichi. Utabaki kwenye kumbukumbu zangu kwani ni wewe ulisheherekesha harusi yangu.
 
Bwana ametoa bwana ametwaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ntakukumbuka dada kwa kutoa dhabihu kanisan na zaka pale universal church hakika mungu akukuacha kukupigania........na hukusita kumjaribu
 
hakika sikutaka kufika ila sikuona umuhimu wa kuanza kumdhihaki marehemu kwa yaliofanywa na ndugu zake....
hakika hata mkiwa kumi bado tutamkumbuka...natumaini siku ikifika naso tutakuulizia....
Yote kheri ndugu!
 


Mungu ailaze roho ya mrehemu mahala pema peponi.sitahacha kukukumbuka kwani ulikuwa mshereheshaji kwenye send ya mke wangu.
 

Ndugu unatoka sayari ipi?

Tafadhali sahihisha sema ni mara yako ya kwanza kushuhudia; na pili uongeze kuwa ni mara yako ya kwanza kuwashuhudia ma-MC wa kike au hata Ma_MC!

Tukio la kubeba jeneza ni mojawapo ya Heshima za mwisho kwa Binadamu wenzetu wanapofariki kwa hiyo tuskimbehi kuwa inawmsaidiaje Marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…