MC George Malatu.

MC George Malatu.

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
474
Reaction score
188
Waungwana kwema? Hivi Naweza kumpata George malatu Awe Master of Celemony kwenye harusi yangu? Mwenye namba zake pliz ani pm. Nipo Dodoma.
 
Waungwana kwema? Hivi Naweza kumpata George malatu Awe Master of Celemony kwenye harusi yangu? Mwenye namba zake pliz ani pm. Nipo Dodoma.
waaaapiigiiie aaaaiiitiiiiiviiiiimmmm!
mi nadhani wewe unataka waalikwa wasinzia kwa kuwa bored na u emc wake ! akili timamu simuelewi nimipiga masamga si ndio simsikii kabisa!
 
Utanilipaaaaaaaaaaaaa shilingiiiiiiiiiii ngapiiiiiiiiiiiii niache kazi Itviiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom