Hongereni na Kongoleni MC wote wa Mwanza na vitongoji vyake vya jirani mfano Kisesa, Magu na kwingineko kwa kazi kubwa mnayoifanya. Kwa kweli kazi iendelee bila kusita. Hata hivyo, mnakumbushwa kumueleza Mwalimu wenu aliyewafundisha topic ya " kusherehesha wakati wa kutoa Zawadi" kuwa anatafutwa. Hivyo, popote alipo ajisalimishe!
Mjumbe hauwawi.