Mch. Katekela: Kanumba hakufa

Mch. Katekela: Kanumba hakufa

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Kanumba hakufa? Hata sielewi!

Daktari alithibitisha kuwa alikufa.

Mch. Katekela kasema hakufa.

Tumwamini yupi?

Kisheria hili limekaaje?

Sikiliza kuanzia dakika ya 2:15
 

Attachments

  • Mch.Katekelalla__Mimi_sikumuua_Kanumba_na_wala_hajafa_ni_mchezo_tu_wa_kishetani_(144p).mp4
    36.6 MB
Na nyie tumewachoka na nyuzi zenu zenye Lengo la kukshafu dini. Lengo la huu uzi ni matusi kwa Ukristo na dini kwa ujumla. Acheni kuokoteza video za watu wasioeleweka na kuanza chafua dini nyie mapepo kwa jinsi ya mwili mnaotumia fake ID.
Pole sana ndugu!

Ama hujaelewa au kuna communication barrier! Hakuna kashfa hapo mkuu.

By the way, dini gani imekashfiwa hapo? Ukristo?

Unakosea sana kufikiri hivyo. Sikiliza vizuri, na hata kama hutakuwa umeelewa, hitimisha kwa kusema "YESU ni BWANA". Inatosha.
 
36 mb ....mkuu are you high?Hebu tuandikie tu alichoongea huyo mchungaji
Kasema Kanumba hakufa. Alichukuliwa msukule baada ya kukataa kumtoa mama yake kafara.

Msimuliaji wa hayo, Mch Katekela, anadai alikuwa miongoni mwa kikosi cha wachawi waliotumwa kuchukua Kanumba. Kipindi hicho huyo Mchungaji alikuwa mchawi mwenye ushirika na freemason.
 
Nilitatanika ndiyo maana nikaamua kuupandisha huu uzi, nikiamini kuwa huenda kuna wanaofahamu kwa undani nisiyoyajua.
Ostaadh hebu sema kweli!

Angekuwa ni Sheikh Kipozeo ndiyo kakutatanisha hivyo kweli ungeupandisha huu uzi? 😳
 
Kanumba hakufa? Hata sielewi!

Daktari alithibitisha kuwa alikufa.

Mch. Katekela kasema hakufa.

Tumwamini yupi?

Kisheria hili limekaaje?

Sikiliza kuanzia dakika ya 2:15
wachungaji hawa wasanii tupu!! wanawapiga hela waumini wao wamewafanya mazombie, kama hajafa amlete leo hii
 
Kasema Kanumba hakufa. Akichukuliwa msukule baada ya kukataa kumtoa mama yake kafara.

Msimuliaji wa hayo, Mch Katekela, anadai alikuwa miongoni mwa kikosi cha wachawi waliotumwa kuchukua Kanumba. Kipindi hicho huyo Mchungaji alikuwa mchawi mwenye ushirika na freemason.
Na wewe kwa akili yako na usomi wako ukaona kuwa hayo maneno yana ukweli na yanatoka kwa mtu mzima; na siyo tapeli tu linalotumia jina la Yesu?
 
H
Na wewe kwa akili yako na usomi wako ukaona kuwa hayo maneno yana ukweli na yanatoka kwa mtu mzima; na siyo tapeli tu linalotumia jina la Yesu?
Hapo lemgo lake ni kashfa juu ya Ukristo hamna lolote. Anajiokotezea video huko mtandaoni alafu analeta hapa ili kukashfiana.
 
Back
Top Bottom