Mch Msigwa asema matumaini yapo CHADEMA akihutubia mkutano wa CCM

Mch Msigwa asema matumaini yapo CHADEMA akihutubia mkutano wa CCM

Uchumi TV

Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
33
Reaction score
31
Hata hivyo haijajulikana mara moja kama alimaanisha au alitaka kusema Tumaini lipo ndani ya CCM. bado hakuweza kupataikana kutoa ufafanuzi juu ya kauli yake hiyo


Alikuwa akiongea katika mkutano mmoja mkoani Kagera.

Hotuba yake nzima unaweza kuitazama katika link hapa chini

View: https://www.youtube.com/watch?v=syftw-dZqvg
 
Acheni watu wajitafutia ulaji bhn

Hata ungekuwa ni ww kama unapata maslahi uko ndan ya ccm utakuja kusifia sifia t ni kwa vile unapata masalahi.

Ila mjinga ni yule ambae yupo kusifia ccm na hanufaiki kwa lolote.😀
 
Usikute wamekubaliana na wana chadema kuwa akienda huko atawasimanga ila wasijali watagawana mapato ndio maana sometimes ulimi unamteleza kwa kuongea ukweli uliopo moyoni mwake. 'Mtu humtoka kile kiujazacho moyo wake'
 
Back
Top Bottom