Ukishinikizwa kuongea ni dhahiri utajichanganya bila kujua, hapo naamini watamkata posho yake ya siku.Hata hivyo haijajulikana mara moja kama alimaanisha au alitaka kusema Tumaini lipo ndani ya CCM. bado hakuweza kupataikana kutoa ufafanuzi juu ya kauli yake hiyo
View attachment 3068924
Alikuwa akiongea katika mkutano mmoja mkoani Kagera.
Hotuba yake nzima unaweza kuitazama katika link hapa chini
View: https://www.youtube.com/watch?v=syftw-dZqvg
Jamaa kachanganyikiwaHata hivyo haijajulikana mara moja kama alimaanisha au alitaka kusema Tumaini lipo ndani ya CCM. bado hakuweza kupataikana kutoa ufafanuzi juu ya kauli yake hiyo
View attachment 3068924
Alikuwa akiongea katika mkutano mmoja mkoani Kagera.
Hotuba yake nzima unaweza kuitazama katika link hapa chini
View: https://www.youtube.com/watch?v=syftw-dZqvg
Ndicho nami nakiona kwa jicho la Tatu.Mwili upo B Moyo upo A.
Unamatani na Lucas MwashambwaIla mjinga ni yule ambae yupo kusifia ccm na hanufaiki kwa lolote.😀
Hapna me sjataja mtu mwl 🤣🤣🤣Unamatani na Lucas Mwashambwa