Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mwanachama wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa akizungumzia mchakato wa kumteua Rais Samia kuwa mgombea wa Urais 2025 uliofanyika Dodoma.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"CHADEMA wamekomaa, wamejifunza demokrasia kutoka CCM, kwasababu kama ulivyoona Dodoma pale Chama cha Mapinduzi (CCM) nacho kilionesha demokrasia ya hali ya juu sana. CCM kilikuwa na Mkutano Mkuu na Chama kilikuwa kimeandaa agenda ya kuwambia Wajumbe wake kuhusu utekelezaji wa Ilani ya Chama chao wakaonesha clip pale kuonyesha demokrasia ndani ya Chama Wajumbe wakasimama wakaleta agenda nyingi lakini Mwenyekiti wa Chama kwakufuata utaratibu akawaambia tumalize kwanza agenda mmepokea agenda tuliyoileta hapa? Wajumbe wakasema wamepokea akawapa uhuru watu wakanyoosha mikono wakasema Mhe. Mwenyekiti kwa kazi nzuru uliyofanya sisi tunaona unafaa kuwa Mgombea Urais."
Soma, Pia