Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Heshima ssna wanajamvi.
Sasa ni wazi Mch Msigwa ni mmoja wa wale wanasiasa waliolamba fedha za Abdul.
Katika hali ya kustaajabisha Mch Msigwa hakuwahi kubeba Bible takatifu hadharani na kuwaaminisha waumini wakikifuata na kukitii kitabu hicho kitakatifu watakwenda Mbinguni.
Mheshimiwa Abdul ametuhumiwa na Mh Lissu kuwahonga fedhaa nyingi viongozi kadhaa wa Chadema wajiunge na CCM.Kwakuwa Mch Msingwa amekuwa kiongozi wa mwanzo kujiunga na Chadema baada ya kulamba fedha za Abdul sasa tunaamini fedha ina uwezo mkubwa wa hadi kuacha kiapo cha uchungaji ingawa chuo alichosoma hakijulikani.
Tunamuomba mch Msigwa badala ya kubeba picha ya Mh Rais Samia abebe picha ya Biblia takatifu labda angeweza kuwazuga watu yeye ni mchungaji wa kweli.
Ngongo kwasasa Iringa.