Pre GE2025 Mch Msigwa: Mbowe hakuwa na mpango wakuachia Madaraka mpaka alipofurumshwa, Uongozi wake ulikuwa wa magumashi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mchungaji Peter Msigwa ameeleza kuwa Mweyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe hakuwa na mpango wakuachia Madaraka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mpaka alipofurumshwa na wapiga Kura kwenye Uchaguzi wa ndani ya Chama, na kuongeza kuwa Uongozi wake ulikuwa wa magumashi

Pia, Soma
 
Labda kama watanzania hatuijui maana ya "kufurushwa"

Watanzania tunachojua ni kwamba, ulifanyika uchaguzi huru na wa haki, ulirushwa nchi nzima live na alikubali matokeo
 
Msigwa ahamie tu ccm hata leo. Chadema hakumfai.
 
Mchungaji Peter Msigwa ameeleza kuwa Mweyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe hakuwa na mpango wakuachia Madaraka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mpaka alipofurumshwa na wapiga Kura kwenye Uchaguzi wa ndani ya Chama, na kuongeza kuwa Uongozi wake ulikuwa wa magumashi

Pia, Soma
NONSENSE!!!
 
Hahah maajabu sana biggest downgrade kwa Msigwa

Naye ameingia mkumbo wa kuvaa kofia za SSH !

Kweli ukiingia CCM akili unakabidhi kwa mwenyekiti, usikute wameambiwa hadi kulala wavae kofia za mama.
 
Mchungaji Peter Msigwa ameeleza kuwa Mweyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe hakuwa na mpango wakuachia Madaraka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mpaka alipofurumshwa na wapiga Kura kwenye Uchaguzi wa ndani ya Chama, na kuongeza kuwa Uongozi wake ulikuwa wa magumashi

Pia, Soma
Na yeye atafukuwza muda sio refu na hao CCM. Rafiki yake kachaguliwa kitu gani kinachomfanya ajifiche kwenye chama cha mabavu?
 
Huyu mbilikImo Msigwa naye aache upuuzi, kete yake alipokwebda CCM ilikuwa kumshambulia Mbowe, sasa Mbowe hayupo amekosa cha kuongea anajiropokea tu.
 
Mchungaji Peter Msigwa ameeleza kuwa Mweyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe hakuwa na mpango wakuachia Madaraka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mpaka alipofurumshwa na wapiga Kura kwenye Uchaguzi wa ndani ya Chama, na kuongeza kuwa Uongozi wake ulikuwa wa magumashi

Pia, Soma
Huyu bado anatonesha majeraha ya uchaguzi,wkt hata huyo anayemtaja ameshasahau kuhusu uchaguzi!?
 
Kama ulihama Chama kwa hasira za ugomvi wako na Mbowe sasa Mbowe hayuko tena unaweza kurudi CHADEMA kama ulihama kwenda CCM kutafuta cheo na fedha sasa ndio tutajua mpango wako.
 
Mchungaji Peter Msigwa ameeleza kuwa Mweyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe hakuwa na mpango wakuachia Madaraka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mpaka alipofurumshwa na wapiga Kura kwenye Uchaguzi wa ndani ya Chama, na kuongeza kuwa Uongozi wake ulikuwa wa magumashi

Pia, Soma
Kafufuka toka mapango ya Amboni
 
Mchungaji Peter Msigwa ameeleza kuwa Mweyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe hakuwa na mpango wakuachia Madaraka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mpaka alipofurumshwa na wapiga Kura kwenye Uchaguzi wa ndani ya Chama, na kuongeza kuwa Uongozi wake ulikuwa wa magumashi
Huyo naye ni wa kupuuza. Hana agenda nyingine zaidi ya Mbowe? Kwa maana nyingine yeye yupo CCM lakini anafurahia Lissu kuwa mwenyekiti, wakati mabosi wake akina Wassira, Makalla na hata mheshimiwa hawapendi kilichotokea cha Lissu kuwa mwenyekiti
 
Back
Top Bottom