Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Ahamie Mara ngapi!??Msigwa ahamie tu ccm hata leo. Chadema hakumfai.
Bado ajahama. Jina lake ndo limehama ila yeye bado.Ahamie Mara ngapi!??
NONSENSE!!!Mchungaji Peter Msigwa ameeleza kuwa Mweyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe hakuwa na mpango wakuachia Madaraka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mpaka alipofurumshwa na wapiga Kura kwenye Uchaguzi wa ndani ya Chama, na kuongeza kuwa Uongozi wake ulikuwa wa magumashi
Pia, Soma
Na yeye atafukuwza muda sio refu na hao CCM. Rafiki yake kachaguliwa kitu gani kinachomfanya ajifiche kwenye chama cha mabavu?Mchungaji Peter Msigwa ameeleza kuwa Mweyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe hakuwa na mpango wakuachia Madaraka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mpaka alipofurumshwa na wapiga Kura kwenye Uchaguzi wa ndani ya Chama, na kuongeza kuwa Uongozi wake ulikuwa wa magumashi
Pia, Soma
Huyu bado anatonesha majeraha ya uchaguzi,wkt hata huyo anayemtaja ameshasahau kuhusu uchaguzi!?Mchungaji Peter Msigwa ameeleza kuwa Mweyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe hakuwa na mpango wakuachia Madaraka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mpaka alipofurumshwa na wapiga Kura kwenye Uchaguzi wa ndani ya Chama, na kuongeza kuwa Uongozi wake ulikuwa wa magumashi
Pia, Soma
ruzuku wale na nani, kelele waje kutupigia sisi.Mtajuana wenyewe
Shangaa wewe 🤒ruzuku wale na nani, kelele waje kutupigia sisi.
Kafufuka toka mapango ya AmboniMchungaji Peter Msigwa ameeleza kuwa Mweyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe hakuwa na mpango wakuachia Madaraka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mpaka alipofurumshwa na wapiga Kura kwenye Uchaguzi wa ndani ya Chama, na kuongeza kuwa Uongozi wake ulikuwa wa magumashi
Pia, Soma
Huyo naye ni wa kupuuza. Hana agenda nyingine zaidi ya Mbowe? Kwa maana nyingine yeye yupo CCM lakini anafurahia Lissu kuwa mwenyekiti, wakati mabosi wake akina Wassira, Makalla na hata mheshimiwa hawapendi kilichotokea cha Lissu kuwa mwenyekitiMchungaji Peter Msigwa ameeleza kuwa Mweyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe hakuwa na mpango wakuachia Madaraka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mpaka alipofurumshwa na wapiga Kura kwenye Uchaguzi wa ndani ya Chama, na kuongeza kuwa Uongozi wake ulikuwa wa magumashi