Pre GE2025 Mch. Peter Msigwa: Mbowe hastahili kuongoza CHADEMA hata kwa Sekunde 2

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Msigwa yupo CCM lakini anabanwa na kifua sana akisikia FAM anaendelea kuongoza CDM

Aombe mambo yaende kama yalivyo lakini kuungana na kundi linalomnanga Boss wake kwa Rushwa ndani ya CDM utakuwa mwanachama wa kawaida sana CCM...

Bahati mbaya ukiacha diploma ya theology huna lolote unaloweza ku offer CCM kwa sasa, na umri umeenda sana....
 
Inashangaza sana.
Badala ya kutumia muda na nguvu yake kuijenga CCM anendelea kuhangaika na Chadema.
Mch Msigwa hajawahi kubeba Msalaba wala Bible kuitembeza barabarani lakini nilimwona akibebeshwa picha ya Mama Abdul akiitembeza na kuisifu.

Mch Msigwa ni bure kabisa hana maana ujinga umemjaa kila mahali.
 
Pamoja na kwamba ni mla rushwa lakini kaongea ukweli
 
Huyu siku Mbowe akiachia kiti anarudi CDM asubuhi mapema.

Kwanza anaelewana sana na TAL
 
Kuna wakati Msigwa akiwa mbunge alisimama jukwaani na kumpongeza sana ndugu yake marehemu JPM. Hakufanywa kitu na CDM. Wakati mpango wa kuwaondoa wamasai Ngorongoro ulipojulikana, Msigwa aliiunga mkono sana wakati CDM iliupinga Hakufanywa lolote na CDM. Wakati Msigwa mwenzake anaenda Ukonga kumlipia faini wenzake walimuangalia tu.

Sasa ajaribu kufanya vitu kama hivyo ( apinge waziwazi msimamo wa chama chake, amsifie Mwenyekiti Lissu jukwaani n.k.) huko aliko tuone kama ata survive hata sekunde moja.

Amandla...
 
Msigwa yupo CCM lakini anabanwa na kifua sana akisikia FAM anaendelea kuongoza CDM

Aombe mambo yaende kama yalivyo lakini kuungana na kundi linalomnanga Boss wake kwa Rushwa ndani ya CDM utakuwa mwanachama wa kawaida sana CCM...

Bahati mbaya ukiacha diploma ya theology huna lolote unaloweza ku offer CCM kwa sasa, na umri umeenda sana....
Kuna speech moja msigwa ali mnukuu,
Albert Einstein

“We cannot solve our problems with the same thinking we used when we created them”.

Msigwa yupo sahihi.
 
What Problems are there in CDM.

Hakuna organization yeyote inaweza play smart na external factors..

Wizi wa uchaguzi na kura unataka Mbowe aingize watu barabarani?

Katiba mpya unataka kuingiza watu msituni.

Bla bla gang ni wavivu sana
 
Msigwa yupo CCM lakini anabanwa na kifua sana akisikia FAM anaendelea kuongoza CDM

Aombe mambo yaende kama yalivyo lakini kuungana na kundi linalomnanga Boss wake kwa Rushwa ndani ya CDM utakuwa mwanachama wa kawaida sana CCM...

Bahati mbaya ukiacha diploma ya theology huna lolote unaloweza ku offer CCM kwa sasa, na umri umeenda sana....
Naona Msigwa kila anaposikia jina la Mbowe linatajwa unyeo wake unawasha.
 
Back
Top Bottom