Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mch Msigwa yupo CCM mambo ya CDM yanamhusu nini ?.Kada wa CCM Mchungaji Peter Msigwa amesema Freeman Mbowe hastahili kuongoza CHADEMA hata kwa Sekunde 2 kwasababu hana jipya
Inashangaza sana.Mch Msigwa yupo CCM mambo ya CDM yanamhusu nini ?.
Mch Msigwa hajawahi kubeba Msalaba wala Bible kuitembeza barabarani lakini nilimwona akibebeshwa picha ya Mama Abdul akiitembeza na kuisifu.Inashangaza sana.
Badala ya kutumia muda na nguvu yake kuijenga CCM anendelea kuhangaika na Chadema.
Pamoja na kwamba ni mla rushwa lakini kaongea ukweliMch Msigwa hajawahi kubeba Msalaba wala Bible kuitembeza barabarani lakini nilimwona akibebeshwa picha ya Mama Abdul akiitembeza na kuisifu.
Mch Msigwa ni bure kabisa hana maana ujinga umemjaa kila mahali.
Upo sahihi kaenda kutafuta malishoKiukweli Msigwa bado anaipenda sana CHADEMA, huko ccm ni njaa tu imempeleka ila imani haiko huko!
Na CHADEMA watampokea?Huyu siku Mbowe akiachia kiti anarudi CDM asubuhi mapema.
Kwanza anaelewana sana na TAL
Kuna speech moja msigwa ali mnukuu,Msigwa yupo CCM lakini anabanwa na kifua sana akisikia FAM anaendelea kuongoza CDM
Aombe mambo yaende kama yalivyo lakini kuungana na kundi linalomnanga Boss wake kwa Rushwa ndani ya CDM utakuwa mwanachama wa kawaida sana CCM...
Bahati mbaya ukiacha diploma ya theology huna lolote unaloweza ku offer CCM kwa sasa, na umri umeenda sana....
What Problems are there in CDM.Kuna speech moja msigwa ali mnukuu,
Albert Einstein
“We cannot solve our problems with the same thinking we used when we created them”.
Msigwa yupo sahihi.
Naona Msigwa kila anaposikia jina la Mbowe linatajwa unyeo wake unawasha.Msigwa yupo CCM lakini anabanwa na kifua sana akisikia FAM anaendelea kuongoza CDM
Aombe mambo yaende kama yalivyo lakini kuungana na kundi linalomnanga Boss wake kwa Rushwa ndani ya CDM utakuwa mwanachama wa kawaida sana CCM...
Bahati mbaya ukiacha diploma ya theology huna lolote unaloweza ku offer CCM kwa sasa, na umri umeenda sana....