Mch.Rwakatare hakutaja Jumba la Tshs1000,000,000/_ambalo lipo kitalu na 2019 na 2020 eneo la Kawe Beach Kinondoni kandokando ya Mto Mbez.Nyumba hiyo Mama Rwakatare anamiliki kwa jina la Frank Joseph Mushi tangia Agosti 7,2011.Mda wote mwingi wa maombi Mch. Rwakatare amekuwa akiomba na kukemea pepo la Bomoa Bomoa akiliita kuwa ni pepo la uharabifu ambapo nyumba hiyo ipo ktk nyumba 100 ambazo zipo ufukwe wa Bahari na zapaswa kubomolewa.