Mch.Rwakatare CCM amedanganya Kamati maadili 1bls Kawe beach!!!

Mwamakula

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2010
Posts
1,890
Reaction score
384
Mch.Rwakatare hakutaja Jumba la Tshs1000,000,000/_ambalo lipo kitalu na 2019 na 2020 eneo la Kawe Beach Kinondoni kandokando ya Mto Mbez.Nyumba hiyo Mama Rwakatare anamiliki kwa jina la Frank Joseph Mushi tangia Agosti 7,2011.Mda wote mwingi wa maombi Mch. Rwakatare amekuwa akiomba na kukemea pepo la Bomoa Bomoa akiliita kuwa ni pepo la uharabifu ambapo nyumba hiyo ipo ktk nyumba 100 ambazo zipo ufukwe wa Bahari na zapaswa kubomolewa.
 
Nyumba ina umiliki wa Mushi wewe umejuaje kuwa ni yake Mch Lwakatare?fafanua maana huyu mama kazidi ufisadi.Tanesco wizi yeye,madawa ya kulevya yeye,pesa za yatima yeye
 
Du kama hili la kweli basi tena Mungu atusamehe tu kwani hata fungu la kumi sipeleke tena kanisani ngojea nianze ku deal na vituo vya watoto yatima tena kwa kupeleka chakula na sio pesa
 

Ulitegemea nini kwa kiongozi mtumishi wa bunge bado anasimamia shule zinazowaibia wananchi kwa kulihujumu shirika la umeme!? Dini ni deal siku hizi sio utumishi wa kiroho papa!
 
chunguza na acc zake ndani na nje ya nchi uone maajabu zaidi
 
Ndio maana mimi najiombea mwenyewe..maana kwanza Mungu wangu najuana nae mwenyewe sasa haya mambo ya udalali wa imani sitaki kabisaa...
 
[Hivi Chenge nae alikuwa ameorodhesha vijisenti vya new jersey .kwenye kamati ya maadili ??]
Hakuorodhesha ndio maana serikali ya Uingereza iliwaambia serikali ya Tanzania wanaweza kumshitaki kwa kutumia sheria ya maadili.
 
Nyumba ina umiliki wa Mushi wewe umejuaje kuwa ni yake Mch Lwakatare?fafanua maana huyu mama kazidi ufisadi.Tanesco wizi yeye,madawa ya kulevya yeye,pesa za yatima yeye
Taarifa za inteligensia!
 
Unajuaje kama amedanganya kamati ya maadili???? kama wewe unafahamu hivyo why dont you report the matter????
na kama nyumba hiyo iko katika list ya zile ambazo zinatakiwa kubomolewa tatizo ni nini hasa?/
na huyu mama anapiga maombi jumba lake lisibomolewe kuna tatizo gani????? ACHA CHUKI NA WIVU
BAHATI YA MWENZIO USIILALIE NJE Kama ameweza kujenga hilo jumba basi mungu atamuwezesha kujenga jingine pengine zuri zaidi ya hilo. UKIMUONA MKULIMA MWENZAKO AMEPATA MAVUNO MENGI KULIKO YAKO NI BUSARA KUMUULIZA SIRI YA MAFANIKIO KULIKO KUMTIA ILA
 
Kila kilochakamili huchuka kutoka Kwa Baba wa mianga.Mavuno yaliyo na doa ni yale yaliyo mbali na wizi ,ukahaba, ujambazi.Huwezi kupata mavuno halafu ukaficha Huwezi kumushukuru Mungu kwa mali za wizi! Pale mwanzo alisema shetan kapoteza fomu
 
Aiseee baba yangu kumbe anakula sadaka zetu kwanzia leo sitoi tena sadaka kanisani kwake
 

Nonsense and Futile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…