Mchaga mahakamani

Mchaga mahakamani

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
643
JAJI: Nakuhukumu kwa kukutwa na mitambo ya kutengenezea gongo.

MTUHUMIWA(MCHAGA): Lakini ni mitambo tu siyo gongo mheshimiwa!

JAJI: Hicho ni kithibiti tosha kabisa.

MTUHUMIWA(MCHAGA): Basi nihukumiwe kwa kosa la kubaka.

JAJI: Kumbe ulibaka pia?

MTUHUMIWA(MCHAGA): Hapana ila hapa ninacho pia kifaa kinachotumika wakati wa kubaka
akimaanisha[uume].
JAJI: Basi upo huru.


MTUHUMIWA(MCHAGA): Aksante baba angu,

 
We hwishi kunivunja mbavu hasa, sijamaliza kucheka uzuri kwa vituko vya yule mwanasiasa aliyechelewa katka ile hafla.
 
Kiruuu!..ameniacha hoi huyo mchaga, nimeisoma hii joke kwa lafudhi ya kichagga!..
 
We hwishi kunivunja mbavu hasa, sijamaliza kucheka uzuri kwa vituko vya yule mwanasiasa aliyechelewa katka ile hafla.

napenda sana vituko vya kutania wachaga ili nisikie comment za Itei tei la kite na Kyachakiche ila naona wameuchubua au net work not reachable moshi? au baridi kali kipindi hichi??
 
Back
Top Bottom