Kiruuu!..ameniacha hoi huyo mchaga, nimeisoma hii joke kwa lafudhi ya kichagga!..
Kwani Belly we mchaga? LOL
Hapana Kaizer, mimi ni kule kwa kina 'chikaka' maeneo ya ziwani(utani).Nina marafiki wengi chaggaz..Lol!
Yes nimekumbuka kwenye ile thread ya wanawake..so funny!mmm..umenikumbusha kitu......unakumbuka?
We hwishi kunivunja mbavu hasa, sijamaliza kucheka uzuri kwa vituko vya yule mwanasiasa aliyechelewa katka ile hafla.