kuna cha kujifunza hapaMchaga, Msukuma na Mchina walikuwa wamekaa hotelini wanakula chakula.
Ghafla nzi akatokea dirishani akaenda kwa mchaga, mchaga akamfukuza.
Nzi yule baada ya kufukuzwa akaenda kwa msukuma, msukuma naye akamfukuza. Nzi akaenda kwa mchina, mchina akamdaka kwa mkono akamtafuna.
Baada ya muda nzi mwingine akaja tena, msukuma akamfukuza kama kawaida.
Nzi akaenda kwa mchaga, mchaga akamdaka kwa mkono akamgeukia mchina akamwuliza "aisee vipi huyu mkubwa mkubwa utamnunua kwa shilingi ngapi"
Acha kasumba,Haichekeshi afu hizo sifa mnazowapaga wachaga mbona sion kama wanazo
Anguko la wachaga liko dhahiri kama ilivyokuwa wahaya sasa hv makabila yanayoongoza kiuchumi ni wakinga na wapembaAcha kasumba,
Fursa....wanaona fursa.Kwaiyo wachagga wanapenda Pesa
Ahahha, nimependa hii mkuuwanajua kutumia fursa