MCHAGA Vs Mzalamo. Twende sawa

Joined
Dec 4, 2017
Posts
15
Reaction score
12
Mzalamo alitangaza anatibu magonjwa yoooote kwa tsh 100'000 pekeee na kama akishindwa kukutibu anakurudishia laki yako anaongeza chajuu inakuwa 200'000
Mchaga akajisemea hii ndo fursa ya kupiga ela haiwez acha inampita
Akaenda kutibiwa

MZALAMO:unaumwa nini?

MCHAGA:sisikiii ladha yototee mdomoni kabisaaaa

MZALAMO:sawa toa laki kabisa

MCHAGA akatoa

MZARAMO akamwagiza msaidizi wake
"Lete kikopo no.27 anywe huyu"

Mchaga akanywa akatema fasta puuh!! Puh puuh!! Mmmmh huu si mkojo huu??

MZARAMO:umepona karibu tens

Mchaga aka-mind sana siku ya pili akarudi tena hakuamini kama ameliwa pesa take

MCHAGA:aiseeee nna tatizo LA kusahau mpaka nasahau kula

MZALAMO:hakuna shida toa laki tukupe tiba

MCHAGA akatoa pesa Leo akijua lazima afanikiwe

MZALAMO:Nesi naomba namba 27

MCHAGA:asaa chalii angu hicho si cha jana cha mkojo kile????

MZARAMO:umepona kumbukumbu unayo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…