Atapita huyu mwamba ila ajiandae na figisu za yule mama mkurugenzi wa ubungo, tatzo hawa wakurugenzi wanasahau kama tunakaa nao mtaani na kama ni ulinzi watapewa wa muda tu. Yupo wapi yule mbunge wa kinondoni kwa tiketi ya CUF aliamia CCM kwa mbwmbwe Leo hii anajuta