Elections 2010 Mchague slaa

Vuvu-Zela

Member
Joined
Aug 9, 2010
Posts
35
Reaction score
0







Jitahidini mle hivyo hivyo, ili mkue, watapita na matarumbeta kuwaomba kura zao


Mama endelea kutuchagua, tutawajengea barabara za juu na chini.


Tuchagueni tutawajengea makazi na ofisi bora.


Semeni wapiga kura wa leo, hongereni kwa kupata maisha bora.


Mama jitahidi uwakuzie mpiga kura wao wa mwaka2027


Usijaliee, kanunue pipi au chakula mpiga kura wangu wa 2024


Yaani mama yake akirudi tuu, naondoka na sitii mkuu tena nyumba hii.


Kazi kazi mpiga kura wa leo, maisha bora kwa kila mdanganyika.


Mkinichagua tu! Nitajenga vituo vya magari vya kisasa kila standi kuu!



Kama hawajuti hawa wazee, hatakaa ajute tena duniani. Anajutia na pia kufurahia kura yake ya kila baada ya miaka mitano Kikatiba ya jamhuri ya muungano wa Hapa Hapa.

Haya wapiga kura wa leo, kaeni na mfikirie kisha toeni jibu sahihi katika maamuzi yenu.
Mimi nilishaamua na uamuzi ni siri yangu.


 
Mods Naona kama Members Wa JF tumetosha. Hawa wapya wa kuanzia August! Mhh!! mimi sisemi
Naona kuanzia Mwezi huu wa nane mpaka Uchaguzi uishe, Mods itabidi muongeze server. We will have visitors here!
 
vuvuzela limesikika linaweza kuwachoma am kuwaunguza kabisaaaaa........
 

Nimekosea samaani!!! Natoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…