Mchagueni Lissu kuwa mjumbe wa Kamati kuu Kwakuwa Mbowe tayari ni mjumbe wa Kamati kuu mpaka kufa kwake vinginevyo mtalia na kusaga meno

Newforce

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2024
Posts
430
Reaction score
708
====

Kama Mbowe tayari ni mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA mpaka kifo chake kwanini anataka kumtoa Lissu kwenye Kamati kuu?

Nia ya Mbowe ni Nini?

Kitendo Cha CHADEMA na Kamati kuu kumkosa Tundu Lissu kwa sababu yoyote Ile hakika CHADEMA mtalia na kusaga meno ni heri kama siku hiyo isingewafika.

====
 
Acheni inyeshe tujue panapovuja, mbowe anafanya jeuri juu ya lissu akijifanya haelewi lissu ni brand kubwa. Let say akakosekana kwenye kamati kuu, hiyo chadema itakuwa ya namna gani? One man show ya mbowe imeshuka sana kwa sasa alitakiwa a step down kupisha mwanachama mwingine awe mwenyekiti kuipa chadema momentum
 
Very true Lissu ni muhimu sana kwa CHADEMA
 
Kwasasa mbowe hakubaliki na kundi kubwa mno ndani ya chadema baada Tu ya Nia yake ya kuendeleza uenyekiti
 
====

Kama Mbowe tayari ni mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA mpaka kifo chake kwanini anataka kumtoa Lissu kwenye Kamati kuu?
Mkuu, katika chama kinachoamini demokrasia, kufuata katiba ni jambo la lazima. Kama katiba inamruhusu Lissu kuwa mjumbe wa Kamati Kuu, basi atakuwa tu. Mambo ya kupeana ni mambo ya taasisi zisizofuata demokrasia. Sijajua ni kwa nini unataka Lissu apewe bure badala ya kuigombania kwa njia ya kidemokrasia
 
Kama watanzania hawakumchagua awe rais na nchi inaenda wala hatusagi meno sasa kwa nini uwatushe chadema.

Kama inakufa acha ife tu, vipo vyama vingine vitafanya role ya chadema.
 
Saccos yao hiyo. Wana ona jamaa ata waanika
 
Ni dhahiri cdm ni taasisi ya watu fulani kabla wengi waliingia kichwa kichwa bila kujijua.
 


Wajumbe mchagueni Lissu atakuwa hana cheo Chochote
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…