Shuleni kwetu ilikuwepo ila mara chache mno.Shuleni kwetu haikuwepo hiyo
Sipendi kukimbia
Swahiba acha uvivu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shuleni kwetu haikuwepo hiyo
Sipendi kukimbia
Mi sio mvivu swahibaSwahiba acha uvivu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
haya bhana swahiba nafurahia uwepo wako humu majukwaaniMi sio mvivu swahiba
Swahiba nipo humu kila siku,labda tunapoteana tuhaya bhana swahiba nafurahia uwepo wako humu majukwaani
Siku mbili tatu zilizopita ulipotea sana humu.
Basi pengine unapita kimya kimya[emoji4] [emoji4] [emoji4]Swahiba nipo humu kila siku,labda tunapoteana tu