Hawa majambazi ni wakuwapeleka mahakamani na kupigwa kifungo cha kutosha
ashikilie msimamo, na alindwe muda wote na asiwe peke yake, atembee na company ya chama!
ccm imekaria kuti bovu
hawa majambazi ni wakuwapeleka mahakamani na kupigwa kifungo cha kutosha
hivi nec taifa wanaweza kutengua matokeo ya ubunge wakipelekewa malalamiko? Sheria zinasemaje?