Mchakato huu wa Katiba ni umasikini wetu. Tujikubali, tuukubali, tuupigie kura ya ndio

umenibabasha paasi,
 
Mkuu Mzee Mwanakijiji , kwanza naunga mkono hoja ya nchi moja, serikali moja chini ya rais mmoja.


Pili, kwa vile maoni haya uliyatoa a way back kabla ya mchakato wa Katiba, and now it's very unfortunately tumeingia kwenye mchakato wa katiba bila kufanya a national convention ya kupata a consensus ya Tanzania tunataka kutengeneza taifa la aina gani, muungano wa aina gani, union or federation, kwa sasa muungano wetu ni both union kwa upande mmoja, na federation kwa upande mwingine which is very unique na ndipo kwenye mzizi wa fitna.

Sasa kwa vile mchakato ulikamilika, na tunachosubiri sasa ni kukamilisha tuu mchakato kwa referendum ya kuikubali au kuikataa, nilitegemea utupe update ya maoni yako kwa hapa tulipo and a way forward

P
 
Wanabodi, msikilize Askofu Gwajima Bungeni Jana.
hicho alichokisema ndicho kile nilicho kisema kuhusu Tanzania kutokuwa na , dira ya taifa, na dhima ya Taifa, hivyo kila rais anakuja na yake.
P
 
paschal changamoto ni kwamba hata weye ni mmoja wa wengi ambao hamjishughulishi kudai katiba mpya.Unawategea CDM tu wakupambanie.Upo na CCM yako isiyotaka katiba mpya na unawatetea kila siku.Halafu unashangaa!
Mkuu Moisemusajiografii, kwa vile humu jf, kila uchao, wanaingia members wapya, hivyo kuna members hatufahamia tumeanzia wapi kupigania katiba mpya and what we stand for, sio vibaya tukasalimiana kwa kukumbushana na kukutakia mwaka mpya mwema!.
P
 
Asante sana Rais Mama Samia, this time mchakato will do the right thing.
Mama Samia atabarikiwa sana!.

P
 
Ila wewe brother siku hizi dah pole sana mbona mchakato wa katiba ulifanyika chini ya warioba naikapatikana katiba safi ya wananchi ambayo inahitaji serikali tatu sasa kama ukizungumzia umasikini wetu inamaana umeyaona maoni ya wananchi ni yakimasikini napia unamaanisha masikini hana hadhi wala haki yakujadili katiba ya Taifa lake
Hicho ni kibri na dharau iliyopitiliza mifano na kama wewe na wanao kutuma mnatujadili hivyo baasi tunaomba mtuheshim na mtutake radhi tusije fikia kipindi chakumuachia mungu

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Na wote wanaozungumzia habari za Katiba Mpya hawazungumzii mambo haya ya Msingi katika kupata Katiba itakayomilikiwa na wananchi.

Wanaimba katiba mpya itafanya hivi itaondoa hivi. Lakini, hawasemi ili kupata Katiba mpya yenye uwezo wa kufanya hayo wanayoyataka ni nini kifanyike, hawausemi Hata Kidogo!!

Wanasema tutumie Ile ya "Jaji Warioba", kumbe nayo ilikuwa na hitilafu kama , Mheshimiwa Paskali Mayalla ulivyoainisha.

Asante sana, Mheshimiwa Paskali Mayalla.
 
Mkuu TUJITEGEMEE , kiukweli kabisa kuna wengi wanataka katiba mpya kwa mkumbo tuu lakini hata hii katiba iliyopo hawaijui wala hawajui mapungufu yake, hivyo hawawezi kutoa mawazo ya maana ya kutaka katiba mpya bora, naendelea kusisitiza kwa huu muda uliobakia mpaka uchaguzi wa 2025, hautoshi kutupatia katiba mpya bora, ila muda uliobakia unatosha kufanya mabadiliko ya sheria ya uchaguzi na kuunda tume huru ya uchaguzi kama tulivyo mshauri Mama hapa Hongera Sana Rais Samia kwa Miaka Miwili Madarakani. Japo Umefanya Mengi, Makubwa, Mazuri, Lakini Bado! Linalowezekana Leo, Lisingoje Kesho!
P
 
Paschal Mayalla, niwie radhi kwasababu nilijibu maoni ya Lucas aliyokutag nikidhani ni maneno yako. Tena nilitaka kushangaa, mtu kama wewe kuwaza katika ule muelekeo ni ajabu.
Mkuu mbussi , usijali nimekuelewa na nimekuleta hapa kukupiga darasa la mchakato wa utengenezaji katiba bora. Mchakato huu wa Katiba ni umasikini wetu. Tujikubali, tuukubali, tuupigie kura ya ndio

Pia humu JF, najihesabu ni mmoja wa self made teachers wa katiba
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…