Elections 2010 Mchakato majimboni - Moro Mjini

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,240
Ichi kipindi leo kuanzia 21hrs mpaka 22hrs TBC kilihudhuliwa na JAHAZI ASILIA,CHADEMA(MWAIPAJA),TLP (MLUGE) ,CUF etc
Wagombea wote walijiandaa vya kutosha kwa jinsi walivyokuwa wakiongea.
Kati ya hoja nyingi nilioidaka ni ya viwanda vya moro Canvas,Moproco ambavyo baada ya kubinafsishwa vinginine vimeguzwa kuwa studio za TV na Radio Station na vingine kuwa sehemu ya kufugia Mbuzi.
Agenda zingine ilikuwa nini watafanya kukarabati makazi ya wazee,juu ya vyanzo vya maji na mapato,uchafuzi wa Mazingira.
Statement ya mgombea wa CHADEMA ndugu Mwaipaja kuwa (CCM ILIZALIWA,IMEKUWA NA SASA IMEZEEKA IKAPUMZIKE ) nimeipenda sana hii statement bse matatizo karibu yote walioyataja yanatokana na uongozi mbovu wa CCM na serikali yake.

Wakati umefika tuipumzishe hii serikali na chama chake kwa ajili ya mabadiliko katika nchi hii.Mtu anachukua kiwanda badala ya kukiendeleza nafugia Mbuzi PSRC na TIC mko wapi?Haya ndo yangekuwa maeneo ya kuwaajiri watanzania.
Hii naifananisha na ZZK Mbeya na Kile kiwanda cha sabuni pembeni yake vimetelekezwa bila kusahau Mbeya Textile Mill ambacho nacho chaelekea kufa hasa baada ya serikali kupiga marufuku ulimaji wa pamba Chunya.Hawa wahindi wameshaanza hamisha mashine za kiwanda hiki na kupeleka Kenya.Serikali yetu iko Kimya ivi walipewa kiwanda wangoe mashine tena zingine mpya hazijawai tumika.

Ndugu zangu watanzania NOW WE HAVE SEEN THE LIGHT LET US FREE OURSELVES BY HAVING SLAA ON THE THRONE.
 
Mluge akasisitiza kuwa tusichague chama bali mtu ambae anaweza tuondolea kero mbalimbali
 
Watanzania wengine hapo Moro bila hata woga watampa kula mgombea wa CCM ambaye viwanda kageuza studio za TV na radio station kazi kweli kweli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…