Sekretarieti ya Ajira
Member
- Nov 15, 2022
- 25
- 142
Ajira ni Mchakato ambao una hatua mbalimbali mpaka kumpata mtumishi wa Umma anayefaa.
1. Hatua ya awali kabisa ni kupokea Kibali.
Kuna vibali vya aina mbili ambavyo hupokelewa kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi kwa ajili ya kuendesha mchakato wa Ajira kwa niaba ya Waajiri. Vibali hivyo ni;
(a) Vibali vya ajira mpya - hupatikana kutokana na Ikama ya kila mwaka wa fedha kulingana na mahitaji ya taasisi husika
(b) Vibali vya ajira mbadala - hupatikana baada ya kutokea upungufu wa mtumishi/watumishi katika taasisi aidha kwa kufariki, kuacha kazi, kuachishwa kazi, kustaafishwa kazi kwa manufaa ya Umma au kustaafu.