Sekretarieti ya Ajira
Member
- Nov 15, 2022
- 25
- 142
We unaye type nisaidie basi na mimi niajiriwe uko serikalini mtaani jua linawakaAjira ni Mchakato ambao una hatua mbalimbali mpaka kumpata mtumishi wa Umma anayefaa.
1. Hatua ya awali kabisa ni kupokea Kibali.
Kuna vibali vya aina mbili ambavyo hupokelewa kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi kwa ajili ya kuendesha mchakato wa Ajira kwa niaba ya Waajiri. Vibali hivyo ni;
(a) Vibali vya ajira mpya - hupatikana kutokana na Ikama ya kila mwaka wa fedha kulingana na mahitaji ya taasisi husika
(b) Vibali vya ajira mbadala - hupatikana baada ya kutokea upungufu wa mtumishi/watumishi katika taasisi aidha kwa kufariki, kuacha kazi, kuachishwa kazi, kustaafishwa kazi kwa manufaa ya Umma au kustaafu.
Mbona mmeishia hapo hamjamaliziaAjira ni Mchakato ambao una hatua mbalimbali mpaka kumpata mtumishi wa Umma anayefaa.
1. Hatua ya awali kabisa ni kupokea Kibali.
Kuna vibali vya aina mbili ambavyo hupokelewa kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi kwa ajili ya kuendesha mchakato wa Ajira kwa niaba ya Waajiri. Vibali hivyo ni;
(a) Vibali vya ajira mpya - hupatikana kutokana na Ikama ya kila mwaka wa fedha kulingana na mahitaji ya taasisi husika
(b) Vibali vya ajira mbadala - hupatikana baada ya kutokea upungufu wa mtumishi/watumishi katika taasisi aidha kwa kufariki, kuacha kazi, kuachishwa kazi, kustaafishwa kazi kwa manufaa ya Umma au kustaafu.
Pia niliuwa naomba kuuliza Taratibu za kuhama Taasisi moja kwenda nyingineAjira ni Mchakato ambao una hatua mbalimbali mpaka kumpata mtumishi wa Umma anayefaa.
1. Hatua ya awali kabisa ni kupokea Kibali.
Kuna vibali vya aina mbili ambavyo hupokelewa kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi kwa ajili ya kuendesha mchakato wa Ajira kwa niaba ya Waajiri. Vibali hivyo ni;
(a) Vibali vya ajira mpya - hupatikana kutokana na Ikama ya kila mwaka wa fedha kulingana na mahitaji ya taasisi husika
(b) Vibali vya ajira mbadala - hupatikana baada ya kutokea upungufu wa mtumishi/watumishi katika taasisi aidha kwa kufariki, kuacha kazi, kuachishwa kazi, kustaafishwa kazi kwa manufaa ya Umma au kustaafu.
We unaye type nisaidie basi na mimi naijiriwe uko serikalini mtaani jua linawaka
Sawa ushauri muangalie sana watu wanabaki kwenye kanzi data yenu wanakaa miaka 2 hawaitwi ukiangalia kada ambazo mara kwa mara mnaita watu kwa interview majina yao yamebaki huko bado mnaita interviewAjira ni Mchakato ambao una hatua mbalimbali mpaka kumpata mtumishi wa Umma anayefaa.
1. Hatua ya awali kabisa ni kupokea Kibali.
Kuna vibali vya aina mbili ambavyo hupokelewa kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi kwa ajili ya kuendesha mchakato wa Ajira kwa niaba ya Waajiri. Vibali hivyo ni;
(a) Vibali vya ajira mpya - hupatikana kutokana na Ikama ya kila mwaka wa fedha kulingana na mahitaji ya taasisi husika
(b) Vibali vya ajira mbadala - hupatikana baada ya kutokea upungufu wa mtumishi/watumishi katika taasisi aidha kwa kufariki, kuacha kazi, kuachishwa kazi, kustaafishwa kazi kwa manufaa ya Umma au kustaafu.
Kwanza Kufanya oral si kuingia database Ukiona kazi zingine zinatangazwa then hakuna Mtu aliyeitwa Toka database ujue haupo database mkuuSawa ushauri muangalie sana watu wanabaki kwenye kanzi data yenu wanakaa miaka 2 hawaitwi ukiangalia kada ambazo mara kwa mara mnaita watu kwa interview majina yao yamebaki huko bado mnaita interview
Mfano mtu amesoma mass communication,Journalism, Public relations
Mtu wa hivi mkitangaza post hizi ana feet
1.Pr
2.Infornation officer
3.Mwandishi wa habari
4.Sales and marketing
5.Call center agent
6.Marketing office
Etc
Alpes-Maritimes course hizi Ana feet kwenye hizi position why? Course ambazo zinaingiliana lakini unakuta mtu Ana experience kwenge field hizi anafanya popote
Changamoto ni kwamba mnatangaza kazi kama hi I interview zinafanyika watu waning kwenge database lakini mwisho wa siku mtu anakuja dodoma kwenye interview zaidi ya mara 5 na kwa position ambazo same kama kuna watu wamebaki kwenye kanzi data mnawaita kazini
Mfano umefanya interview information officer interview umefanya 3 Dodoma alikuwa anahitajika mtu mmoja mkamchukua
Lakini kuna watu 7 walibaki kwenye kanzi data kama kuna kazi zinazoendana na kada kama nilivyowasilisha kwa hiyo orodha kwann msimwite kazini bado
Mnaita interview watu wanakuja dodoma
Unakuta mtu anakuja dodoma kwa miezi 2 mara 3 kwa interview na kada ambazo zinaendana
Hii si sawa ni utumiaji hovyo wa rasilimali za Taifa lakin watoto wa masikini wamesoma kwa shida wanadaiwa mikopo hawa wanaiingia kwa database wafikilieni jamani hali tete mtaani
Jina linaingia kwa data base linakaa miaka 2 watu hawaitwi kazini lakini mnatangaza kazi zinazoendana na same field muwe mnaangalia database kutengeneza hali ya usawa kwa Watanzania wote
Yangu hayo tu