Mchakato wa bodi ya mikopo

Mchakato wa bodi ya mikopo

kidzumbe

Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
33
Reaction score
2
Nimesikia fununu yamkuwa kuna majina ya wanafunzi waliokosea kuomba mkopo,inatakiwa waombe tena lakinini siyaoni kwenye web yao ambaye ameyaona msaada ayapost humu tuweze kujua nini tufanye
 
Nimesikia fununu yamkuwa kuna majina ya wanafunzi waliokosea kuomba mkopo,inatakiwa waombe tena lakinini siyaoni kwenye web yao ambaye ameyaona msaada ayapost humu tuweze kujua nini tufanye

Bado sana mkuu, kumbuka kuwa zoezi la kutuma maombi bado halijafungwa.Kwa kawaida majina ya waliokosea hutoka mwezi wa nane.
 
Back
Top Bottom