Hali ya wabunge wa CHADEMA akina MBOWE, TUNDU LISSU, LEMA na ZITTO ziko je hadi sasa??? kuna uwezekano wa wao kuwepo Bungeni kwa wiki inayoanza tar 14/11/2011? Ni wiki muhimu sana kwani mstakabali wa katiba mpya ndo utajulikana. nina wasiwasi endapo wao wakikosa kwani hata wapiga wao watakosa wawakilishi; huu mchakato wa katiba mpya kwa kushirikiana na wana harakati wametoka nao mbali sana.