Mchakato wa Katiba ilikuwa mbinu ya wanasiasa kukusanya pesa ya kampeni

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Katika hili walifanikiwa kwa kiasi kikubwa na hakuna kingine cha maana kilichofanyika na hata wao kisaikolojia hawakuwa wamezamilia kuja na katiba mpya tena ya wananchi Bali kukusanya laki tatu kwa siku, ambayo ndiyo iliyokuja kutumiwa kipindi cha kampeni kuhonga wananchi na mambo mengine
 
Kama ndio ilikuwa hadhima yao basi walifanikiwa kwa asilimia 100.
 
Katika hili walifanikiwa kwa kiasi kikubwa na hakuna kingine cha maana kilichofanyika na hata wao kisaikolojia hawakuwa wamezamilia kuja na katiba mpya tena ya wananchi Bali kukusanya laki tatu kwa siku, ambayo ndiyo iliyokuja kutumiwa kipindi cha kampeni kuhonga wananchi na mambo mengine
Na hiyo hela ililiwa Na wapinzani pia kwenye bunge maalum la katiba
 
Back
Top Bottom