Pamoja na nia Nzuri ya Raisi kukubali kuanzishwa kwa mchakato wa Katiba Mpya bado kuna wingu zito la upatikanaji wa katiba hiyo kabla ya mwaka 2015. Swala linaloonekana kuwasumbua sana CCM ni Kuwa Serikali Tatu; Kwa maoni yangu kinacho watesa CCcM ni kama ifuatavyo:
1. CCM wanaogopa Mabadiliko; siyo kweli kwamba Serikali tatu ni mzigo kwa Taifa; Wanaopinga serikali tatu ni waoga wa mabadiliko. Ni ukweli usiopingika kwamba Mfumo uliopo sasa unawanufaisha sana na kukipa nguvu chama kilichopo madarakani interns of influence kwa serikali , hivyo basi kuwa na serikali tatu ni kama Kupoteza Nguvu na influence yao, Ikitokea Rais wa jamhuri ya Muungano akawa Liberal Itakuwaje?. Kuogopa kuingia kwenye mfumo mpya nalo ni Tatizo, nilikuwa na mzee Mmoja; Kiongozi mwandamizi mstaafu wa CCCM anaeishi ughaibuni; yule mzee alinambia kuwa, "Kutojua tu nini kitatokea baada ya mfumo mpya ni tatizo linalowasumbua chama twala.. (their future is Uncertain)"
2. Kujisahau na kuwakadiria wapinzani: Chama tawala walijisahau sana, ni kama vile walijua watatawala milele, Kuibuka kwa vuguvugu la mabadilko sehemu mbalimbali duniani kama Vile Zambia,Kenya na Nchi ya kiarabu kumewashtua sana. Kuimarika kwa vyama vya siasa Nchini nalo ni Tatizo.. Kwamfano kauli kama " CUF ni chama cha waislamu", " CDM ni chama Cha wakrito" and CDM kitakufa kabla ya 2015..hizo siyo kauli za bahati mbaya.. Waliopata kutamka kauli hizo wanajua fika siri iliyopo.. Baada ya mbinu za Ki propaganda kushindwa na badala yake kuzidi kuvipa nguvu vyama vya SIASA, inawaogopesha sana.. " hawa Jamaa hawazuiliki" alisema MZEE..
3. CUF Kushinda Zanzibar: " Mwaka 2000 and 2010; Chama tawala tulishinda kwa Mabavu" walituokoa sana wale vijana....Tulishashindwa.. Alisema; Tofauti ya Kura zilizotangazwa Zanzibar kwenye Chaguzi zote tangu Kuanza kwa mfumo wa Vyama Vingi zinajieleza vizuri.. Bila Mikakati CCCM wasingeweza kabisa kushinda.. Cuf zanzibar, CCCm Bara, CDM au NCCR serikali ya Muungano (assumption), itakuwaje: ni maswali yasiyo na msingi, lakini bahati mbaya ndiyo yamekuwa bases ya Chama tawala kufanya maamuzi.