Mchakato wa Katiba mpya kuanza Sept. 2023. Baaada ya katiba mpya kupatikana Dp world wanafurushwa

Tulikwisha elimishwa na kuhamasishwa vya kutosha na Tume ya Warioba kwa hiyo tunachotakiwa kufanya ni kuendeleza pale tulipoishia kwa kuandika na kuipigia kura. Vinginevyo kwa sasa na kwa utaratibu huu unaoandaliwa ni kutafuta mbinu za kupiga hela!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…