hivi dhamila ya dhati ya kuhakikisha tunapata katiba mpya utafanikiwa? aliye waza mapema hivi kuwa mjadala wa katiba mpya usijadili baadhi ya mambo ambayo niyamsingi kwa watanzania na ndiyo yanayo tufanya kutaka katiba mpya, anaitakia mafanikio nchi yetu ama anataka kustua mioyo mitulivu ya watanzania na kuleta mparanganyiko? jamani watanzania wana hamu ya kupata katiba inayo waweka huru, wazi na uhakika wa serekali madalakani,,kitendo cha jana(7.4.2011) hakikuashiria vyema,watanzania wamefukuzwa eneo la bunge kwa risasi za machozi! hatutafika,,hivi kwanini hawakutafuta nafasi ili waweze kushiriki? tuijenge tanzania kwa moyo wa upendo na si masilahi binafsi!!!