RASMU ya WARIOBA iliwapitia Wananchi woteRais Samia Suluhu alisema atashughurikia suala la katiba mpya na kuna watu wengine wanahoji kwanini mchakato wa katiba mpya unachelewa.
Sababu za kuchelewesha katiba mpya Rais Samia Suluhu anataka kila mwananchi ashiriki kikamilifu katika mchakato wa kuleta katiba mpya kwasababu katiba ni ya nchi na mwananchi hivyo kila mtu anauhuru wa kushiliki na itachukua muda ili kukamilisha
Rais Samia Suluhu yeye sio chanzo cha mfumko wa bei chanzo ni vita vya ukraine lakini amepambana kupunguza gharama za maisha kwa kutoa bil 100 kila kmwezi kwaajili ya mafuta pia katiba mpya si kukurupuka ni kujipanga na inatakiwa wananchi watoe mawazo yao kuusu katiba mpya kwaiyo katiba mpya ni mchakato wa muda mrefuMwanzoni alisema katiba mpya isubiri ajenge uchumi.
So far inaelekea anaharibu uchumi badala ya kuujenga...
Katiba ni process mzee kwaiyo itachua muda then huu utawala sio ule tuliuzoea wa kutumia nguvu huu serikali ya sasa inasikiliza wananchi na kufanyia kazi kwaiyo uchaguzi ujao utakua fair kabisa lakini nikuhakikishie Rais Samia atashinda kwa asilimia zaidi ya 80Tunataka KATIBA mpya na Tume huru ya Uchaguzi itakayoweza kumtoa sa100 na CCM madarakani.
Raisi anatakiwa kutatua matatizo yote yanayotukabili hapa nchini.Rais Samia Suluhu yeye sio chanzo cha mfumko wa bei chanzo ni vita vya ukraine lakini amepambana kupunguza gharama za maisha kwa kutoa bil 100 kila kmwezi kwaajili ya mafuta pia katiba mpya si kukurupuka ni kujipanga na inatakiwa wananchi watoe mawazo yao kuusu katiba mpya kwaiyo katiba mpya ni mchakato wa muda mrefu
Katiba ni process mzee kwaiyo itachua muda then huu utawala sio ule tuliuzoea wa kutumia nguvu huu serikali ya sasa inasikiliza wananchi na kufanyia kazi kwaiyo uchaguzi ujao utakua fair kabisa lakini nikuhakikishie Rais Samia atashinda kwa asilimia zaidi ya 80
Ni nchi ipi kwa sasa haina mfumko wa bei hapa dunia?...mwanzoni alisema katiba mpya isubiri ajenge uchumi.
..so far inaelekea anaharibu uchumi badala ya kuujenga...
Kwahiyo yale maoni yaliyokusanywa na mzee warioba na tume yake yalikuwa sio ya wananchi ila mafisi porini?Rais Samia Suluhu alisema atashughurikia suala la katiba mpya na kuna watu wengine wanahoji kwanini mchakato wa katiba mpya unachelewa.
Sababu za kuchelewesha katiba mpya Rais Samia Suluhu anataka kila mwananchi ashiriki kikamilifu katika mchakato wa kuleta katiba mpya kwasababu katiba ni ya nchi na mwananchi hivyo kila mtu anauhuru wa kushiliki na itachukua muda ili kukamilisha
Ni nchi ipi kwa sasa haina mfumko wa bei hapa dunia?.