Mchakato wa katiba mpya ya jamuhuri ya muungano wa tanzania.

Mchakato wa katiba mpya ya jamuhuri ya muungano wa tanzania.

Nalonga

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
224
Reaction score
53
Ndugu wanajamii hivi sasa tupo katika mchakato wakasi kubwa kulilia Katiba Mpya kwa ajiri ya Jamuhuri yetu ya Muungano,sasa basi wakati wanasiasa wetu wanapasha moto makoo yao tayari kwa kwenda kulipuka mjengoni kuhusu katiba Mpya,Je kati ya sisi watanzania takriban milioni 40 sasa,ni wangapi wanajua Mapungufu ya katiba ya zamani,(ya mwaka 1977),na nini tunachohitaji kibadilike katika hayo maandiko?au ni wanajamuhuri asilimia ngapi wanajua hata hiyo katiba inafananaje?ili tuonapo wanasiasa wetu wanaipigia debe hayo maandiko yabadilike tujue kwamba ni kweli wanalilia andiko la kutuwezesha wanajamuhuri wote tufaidi hili limkate la Jamuhuri yetu ili tuweze kuwapa sapoti inayotakiwa?Naomba kuwasilisha.:thinking::thinking::thinking:
 
Huna haja ya kuijua hii katiba ya sasa, inatosha tu kujua mengi ya hadha unazokabiliana nazo ni matunda yake.
 
Back
Top Bottom