Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Nimekuwa nikianzisha nyuzi humu kuhusu mchakato wa kuandikisha wananchi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura unavyoendelea kule Zanzibar.
Kusema na ukweli tu, mchakato umepoa sana. Hakuna shamrashamra na hamasa kivile kwa wananchi.
Hamna social media campaigns, matangazo ya kidigitali au influencers wanaotumika kuwahamasisha wananchi kujiandikisha. Yaani mchakato umepoa mno.
Nakumbuka kwenye Kizimkazi Festival, walitolewa influencers comedians the likes of Leonardo na kina Tx Dullah na wanamuziki kutoka bara wakaenda Zanzibar "kuhamasisha" watu kushiriki tamasha lile.
Media zote kubwa kuanzia Wasafi mpaka Clouds mwezi mzima ilikuwa ni Kizimkazi Festival tu.
Kwanini hatuoni the same energy kwenye mchakato wa kuandikisha wananchi? Ni fedha hazitoshi?
Tume Huru ya Uchaguzi yakamilisha mchakato wa kutoa elimu kwa wananchi Zanzibar. Mchakato wa uandikishaji umeanza rasmi leo!
Kama Influencers walitumika kuandaa tamasha na social media campaigns, kwanini serikali haitumii same strategies kuahamasisha wananchi kujiandikisha?
Naona kama kuna jitihada za makusudi za kufanya mchakato kuwa wa kimya kimya ili wananchi wengi wasishiriki.
What's going on?