wadau nauliza ni hatua gani na taratibu zipi za kufuata katika kuanzisha kipindi, mfano wa kile cha dk 45 cha itv. Nahitaji nami kuanzisha kipindi japo mi sio mwanahabari.
Unatengeneza proposal,ambayo inatakiwa ionyeshe cost za wazamini na malipo ya airtime kwa tv station,pia ukiwaza unatengeneza mfano alisia wa hicho kipindi kuongezea ushawishi kwa unaotaka wadhamini icho kipindi.