Mchakato wa kufufua na kurasimishwa uchifu; kwanini sasa?

Mchakato wa kufufua na kurasimishwa uchifu; kwanini sasa?

MziziwaJiwe

New Member
Joined
Aug 5, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Sababu ni ini hasa? Ambapo ulipuuzwa awali kwa kutoonekana umuhimu wala mchango wake, kwa mkoloni, na tawala za Uhuru wa Bendera zilizofuata baada yake, Nyerere aliua uchifu wa makabila yote mengine, isipokuwa wa buzanaki (muhunda wa mwitongo) Tatizo hasa lilikuwa nini?

Je, kiukweli uchifu ilikuwa na tishio gani kwa serikali zaidi ya lile la dini za kigeni?

Kabla ya kuufufua na kuurasimisha uchifu kinyemela, tuambiwe kwa nini ulisimamishwa, na kutotambuliwa na katiba awali, na sasa tunalenga nini hasa?

Nawasilisha.

Mwanagedi Mzizi wa Jiwe
 
Back
Top Bottom