Mchakato wa kupitisha bidhaa za vyakula toka Kenya to Tanzania

Mchakato wa kupitisha bidhaa za vyakula toka Kenya to Tanzania

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,207
Reaction score
14,343
Jinsi ya kuingiza bidhaa za viwandani za vyakula. Kama mafuta ya kula na vinavyofanana na hivyo kutoka kenya.

Ni nini unapaswa kufanya kabla hujaenda kuchukua na baada ya kununua unapita vipi mipakani.

Kwa jumla anaejua process zote za swala hili
 
Kwanza inategemea n mzigo wa thamani gani pale border Kuna tozo za aina mbili na hutegemea nani anakushughulikia pale border.

Mzigo zaidi ya 4m unatakiwa uwe na ajent n lazima ili akuandalie document hapa Kodi ibapigwa kulingana na thamani ya mzigo huku huwa hamna longolongo nyingi vijana wa Magufuli macho 24*7 na chini ya 4m Ni wewe au ajent anaweza kukusaidia hapa Kodi n makubaliano Kati yako na tra Yan unaweza ongea hvyo hutegemea na afisa Kodi wasiju hyo akikuandikia 20k sawa akikuandikia 200k sawa inategemea ameamkaje nawe umeongea nae aje
 
Bado Kuna inshu ya TBS na TMDA ukicheza unaweza juta huo mchongo unaoutegemea hvyo inabid uwe makini Sana
 
Kwanza inategemea n mzigo wa thamani gani pale border Kuna tozo za aina mbili na hutegemea nani anakushughulikia pale border.

Mzigo zaidi ya 4m unatakiwa uwe na ajent n lazima ili akuandalie document hapa Kodi ibapigwa kulingana na thamani ya mzigo huku huwa hamna longolongo nyingi vijana wa Magufuli macho 24*7 na chini ya 4m Ni wewe au ajent anaweza kukusaidia hapa Kodi n makubaliano Kati yako na tra Yan unaweza ongea hvyo hutegemea na afisa Kodi wasiju hyo akikuandikia 20k sawa akikuandikia 200k sawa inategemea ameamkaje nawe umeongea nae aje
Kwa hiyo nikinunua vitu kule ndani si unalipia kodi...
Afu na mpakan nako unalipoa?
Je vitu gan haviruhusiwi kupitisha?
 
Bidhaa nyingi za Kenya zina mawakala huku,hivyo utaenda nunua ila si kwa bei ya kiwandani....
 
Bidhaa nyingi za Kenya zitakufaidisha kama utachukua Magendo
 
Kwa hiyo nikinunua vitu kule ndani si unalipia kodi...
Afu na mpakan nako unalipoa?
Je vitu gan haviruhusiwi kupitisha?
Ukinunua vitu kwa wakala/maduka ya Kenya unalipa Kodi ya Kenya hvyo ukiviingiza Tanzania unalipa Kodi ya Tanzania.

Pia Kama mnakubaliana na kiwanda husika mnatengeneza mkataba unakuwa agenti wa Tanzania na unakuwa unauziwa bila Kodi ya kenya(16%) sema hii issue inamlolongo mkubwa.

Kitu ambacho hakijasajiliwa Tz hakiruhusiwi Ila vikiwa vichache haina shida tofaud na kuingiza Tani kadhaa hapo itakula kwako.

Mafuta, sabuni na vyakula vya makopo vingi vipo Kenya Ila hapa kuviingiza unatakiwa uwe na wenyeji.

Ikianza hii Biashara nistue nitakupa abcd zake kabla na baada pia hata wauzaji wakubwa Nina mawasiliano nao
 
Back
Top Bottom