masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Kwa hiyo nikinunua vitu kule ndani si unalipia kodi...Kwanza inategemea n mzigo wa thamani gani pale border Kuna tozo za aina mbili na hutegemea nani anakushughulikia pale border.
Mzigo zaidi ya 4m unatakiwa uwe na ajent n lazima ili akuandalie document hapa Kodi ibapigwa kulingana na thamani ya mzigo huku huwa hamna longolongo nyingi vijana wa Magufuli macho 24*7 na chini ya 4m Ni wewe au ajent anaweza kukusaidia hapa Kodi n makubaliano Kati yako na tra Yan unaweza ongea hvyo hutegemea na afisa Kodi wasiju hyo akikuandikia 20k sawa akikuandikia 200k sawa inategemea ameamkaje nawe umeongea nae aje
Vitu kama mafuta kula kama kimbo blueband na vitu kama hivyoBado Kuna inshu ya TBS na TMDA ukicheza unaweza juta huo mchongo unaoutegemea hvyo inabid uwe makini Sana
Ukinunua vitu kwa wakala/maduka ya Kenya unalipa Kodi ya Kenya hvyo ukiviingiza Tanzania unalipa Kodi ya Tanzania.Kwa hiyo nikinunua vitu kule ndani si unalipia kodi...
Afu na mpakan nako unalipoa?
Je vitu gan haviruhusiwi kupitisha?
Hv tayari vipo registered TBS na TMDA havina shida kuingiza inshu n ujanja wa kuviingizaVitu kama mafuta kula kama kimbo blueband na vitu kama hivyo
Naenda nairob mwanzon mwez ujao...nitakuchek mkuu for ABCHv tayari vipo registered TBS na TMDA havina shida kuingiza inshu n ujanja wa kuviingiza