Katika jambo lilowashangaza wafuatiliaji wa mchakato mzima wa kura za maoni (Ubunge) CCM, ni jinsi Wabunge au watia nia waliokuwa wanatetea nafasi zao za majimbo jinsi walivyoweza kujipanga mapema katika kuhakikisha wanatetea nafasi zao "by hook or by crook".
Mkakati mkuu walioutumia mara hii hasa baada ya kukubaliana wa wakubwa zao ilikuwa ni kuhakikisha wanajipanga mapema "yaani kuwapitia wajumbe na kuwapooza" na kisha wakishamaliza ndio TAKUKURU waambiwe kuingilia kati kuwabana wale wasaka majimbo wapya ambao wangejitokeza.
Kwa asilimia kubwa huu mkakati umefanikwa na ndio maana huchelewi kuona watu kama akina Ndugai waliokuwa wanachapa bakora wagombea wenza katika uchaguzi wa 2015 wakipita kwa kura zaidi 800 au akina Tulia walioanza kampeni mapema zaidi ya miaka 3 iliyopita ya kuhonga wajumbe katika majimbo yao wakijizolea kura za kutosha.
Lakini pamoja na hayo wapo baadhi ya wagombea au wabunge waliokuwa wanashikilia Majimbo yao walifanya uzembe na kukurupuka dakika za mwisho mfano wa Lusinde na Serukamba na kuishia kujaribu “kulisha mbuzi siku ya mnada” kilichowakuta ni kuangukia katika mikono ya Takukuru.
Pamoja na jitihada za Takukuru kujaribu kufuata maelekezo ya kuwadhibiti watoa rushwa kipindi hiki baada ya wakongwe kujipanga hasa lakini jana walishushuliwa na JPM akitoa kabisa mifano ya Dodoma na nyumbani kwa Serukamba kwa kuwalaumu Takukuru eti kwanini walichelewa kuwakamata na akaenda mbali zaidi kwa kusema eti ameongea na watuhumiwa.
Tulijiuliza maswali mengi vipi JPM mpaka kuongea nao hawa yeye naye ni Taasisi ya Takukuru lakini kwa kajaribu kuwatetea zaidi bado Spika na makamu wa Rais pamoja na kusifia kazi nzuri ya Takukuru waliwatetea wabunge hao na kuwataka Takukuru eti wasifanye kazi kwa kusikiliza maneno ya watu ila wajikite katika weledi.
Hapa ndipo wahenga usema mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu…
Nimechukulia mfano wa TAKUKURU kuagizwa wakachunguze mchakato mzima wa wabunge wa CHADEMA kukatwa posho zao