Ndugu wana JF,
Tanzania kuna miradi mingi inafanyika, mara nyingi mwenzenu naisikia wakati inatangazwa kwenye vyombo vya habari.
Kama mjasiriamali mdogomdogo na ningependa niweze kujua haya katika hatua za awali, ili niwaze kujipanga kutoa huduma kwa hawa magiant wa miradi. Naamini kuna nafasi hata kwa mjasiriamali mdogo kushiriki endapo utajua namna na kujipanga
Mimi napenda kushiriki kama service supplier kwa makampuni wanaopata miradi hii.
Nini njia nzuri ya kimkakati kufuatilia hii miradi , mradi gani upo sokoni , upo kwenye hatua gani na nani amepewa mradi ni mahali gani au taasisi gani pa kucheki mambo haya?
Asante kwa michango yenu.