Mchakato wa urais SEKOMU

sabai

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
69
Reaction score
7
wafuatao wamechukua form ya urais na sifazao kwa kina
NsyukaA.charles-hafai kwani alishiliki moja kwa moja kuipiga chini serikalini ya mh.marko joseph kwani alikuwa signatories alipitisha mihamala feki pia amechonganisha waumini wa kanisa lake la bondeni na kuwasambaratisha waumini kwani anauchu wa madaraka na yupo mlengo wa chibwi joramu kilaxa ambacho kiliomba kupewa uwaziri wa elimu huku maswala yselimu hayaeleweki kiufupi huyu nsyuka hafai
jacob hafai kabisa kwani amejikita kwa wapiga kelele wa mpira akiamini kuwa watampq kura pia anauonivhafifu/low vision eti anadai chuo ni chaelimu ya ulemavu kwa hiyo atashinda kwa mwavuli huo rais aliyeondolewa alikuws anaona vizuri lkn wajanja wachache walimpoteza sembusr huyu ambaye haoni kabisa ndo atate
peliwa
NZOKO DOGO ANAFAA ANAJITAMBUA HANA





MAKUNDI
SHABANI S GWAO FEKI KABISA HAFAI
DICKSON MKINGA HAFAI KABISA ANATEMBEA NA WAKE WA WANACHUO PIA ANATAKA KUCHUKYA URAIS KWA KUWA YEYE ANAVAA SUTI YENYEWE MOJA
 
Aisee huyu ni mwanafunzi wa chuo kikuu
 
kijana kampeni za chuo kapigie chuoni, au FB ,hapa unajaza SERVER TU. hapa tunajadili matatizo ya kitaifa, kama sera ya elimu, mafisadi, katiba na nani awe rais wa nchi. wakichangia watu 10 shukuru mungu.
 
Hivi kweli wewe ni msomi ? Uwezi kuleta maswala yakinafiki kwenye great thinkers ,jaribu kujiangalia mara mbili kabla ujapost utumbo wako, na kitu kingine wewe uijui siasa bali unachuki banafsi na wanachuo wenzio any way ndo vijana tulio nao Tanzania.
 


ndugu yangu unatia huruma sana..
so what??
Njoo na ID yako original usitumie jina la Mtu.
shame on you.
 

mkuu sodium; hebu jaribu kupitia hata post yake uone akili ya mweka post.
anashindwa hata kuandika kiswahili kilichonyooka..
aliwahi kuja na post kadhaa hapa ikiwemo ya leakage ya mitihani.
anafatwa atoe ushahidi anadai Kuna Mtu anatumia ID yake;; tukaamua kumwacha Ili ajifunze lkn still anaendeleza siasa majitaka.

kwa maelezo ya mwenyejina halisi (sabai) Kuna Mtu mmoja dhaifu sana anatumia jina lake Ili kumchafua..
namwomba mweka hoja aje na ID original aache mipasho..

anasema huyu hafai; yule anafaa na hatoi vigezo kwa nn huyu anafaa na yule hafai.

by the way; ningeelewa km bandiko angeliweka chuoni na Sio hapa ambapo watu hawaendekezi siasa njaa Bali wanajadili hoja nyeti za kitaifa.
shame shame shame.
 
Duh!hata mie na form 4 yangu nina afadhali aisee.
 
Kwaiyo hyo jamaa anasoma chuo au ni mlizi wa chuo utegemei mwachuo kuleta siasa za et mgombea anatembea na wake za watu mara makanisa so what?
 
Ya ngoswe mwachie ngoswe c ya sekomu yanatuhus au unafkr hili kundi la wana sekomu
 

mwandishi na wewe upo chuo kikuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…