M MULODION New Member Joined Nov 16, 2024 Posts 2 Reaction score 0 Jan 13, 2026 #1 Vijana wanaofanya utarajali (internship) huugulia maumivu makali kila mwaka baada ya kulazimika kufanya kazi kila siku kwa miezi miwili hadi mitatu wakiwa mikoani bila kupokea posho zao, Lni utawekwa utaratibu wa kupunguza hii adha kwa vijana hawa?
Vijana wanaofanya utarajali (internship) huugulia maumivu makali kila mwaka baada ya kulazimika kufanya kazi kila siku kwa miezi miwili hadi mitatu wakiwa mikoani bila kupokea posho zao, Lni utawekwa utaratibu wa kupunguza hii adha kwa vijana hawa?
Saa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 6,552 Reaction score 13,002 Jan 13, 2026 #2 Wajiajiri
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Jan 13, 2026 #3 Lawama kwa mbogamboga.